Nenda kwa yaliyomo

Viktória Szabó

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Viktória Szabó

Viktória Szabó (alizaliwa 26 Mei 1997) ni mchezaji wa soka wa nchini Hungaria na ambaye anacheza katika klabu ya wanawake ya FC Saarbrücken nchini Ujerumani na timu ya taifa ya Hungaria.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Viktória Szabó kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.