Vibeke Karlsen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vibeke Karlsen (alizaliwa 1 Agosti, 1967) alikua mwamuzi wa mpira wa miguu wa nchini Norwei.

Alianza kazi ya uamuzi mwaka 1983, alikua mwamuzi wa shirikisho la soka la wanawake la Toppserien tangu mwaka 1992 na alikuwa mwamuzi wa FIFA kuanzia mwaka 1996 hadi 2004.

Alichezesha michuano ya kombe la Euro mwaka 1997 na michezo ya Olimpiki mwaka 2000. Karlsen anaishi katika mji wa Nesbru. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Vibeke Karlsen" (kwa Norwegian). Norges Fotballdommerforening. 26 February 2007. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 October 2011. Iliwekwa mnamo 13 May 2009.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vibeke Karlsen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.