Nenda kwa yaliyomo

Veracruz, Veracruz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Veracruz


Jiji la Veracruz
Nchi Mexiko
Jimbo Veracruz
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 444,438
Tovuti:  www.veracruz-puerto.gob.mx

Veracruz (jina rasmi: Puerto de Veracruz; Kiswahili: Bandari ya Veracruz) ni mji mwenye bandari muhimu katika jimbo la Veracruz. Eneo lake ni 241 km² lenye wakazi 444,438 (mwaka 2005).

Jina la Veracruz ni ya Kihispania, maana yake ni msalaba halisi.

Mji ulianzishwa na Hernando Cortes mnamo 1519.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Veracruz, Veracruz kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.