Nenda kwa yaliyomo

Veney Cameron

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Verney Lovett Cameron mnamo 1878

Verney Lovett Cameron (1 Julai 1844 – 24 Machi 1894) alikuwa mpelelezi Mwingereza katika Afrika ya Kati na Mzungu wa kwanza kuvuka (1875) Ikweta Afrika kutoka bahari hadi bahari.

Alizaliwa mjini Radipole, karibu na Weymouth, Dorset, akiwa mwana wa mchungaji Jonathan Lovett Cameron na Frances Sapte. Alijiunga na jeshi la wanamaji la Uingereza 1857. Akahudumu katika kampeni ya Uhabeshi ya 1868. Aliajiriwa muda mrefu katika kukandamiza biashara ya utumwa ya Afrika Mashariki.

  • RF Burton, VL Cameron "Kwa Pwani ya Dhahabu kwa Dhahabu", 
  • VL Cameron "Afrika nzima", 
  • James Choyce "Log ya Jack Tar: James Choyce, Master Mariner", 
  •  This article incorporates text from a publication now in the public domainChisholm, Hugh, ed. (1911). "Cameron, Verney Lovett". Encyclopædia Britannica. 5 (11th ed.). Cambridge University Press. p. 109.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  • Works by Verney Lovett Cameron at Faded Page (Canada)
  • Works by Veney Cameron katika Project Gutenberg
  • Works by or about Verney Lovett Cameron at the Internet Archive