Veliko Tarnovo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Veliko Tarnovo (kwa Kibulgaria: Велико Търново) ni mji wa Bulgaria wenye wakazi 73,791. Ulikuwa mji mkuu wa nchi (1185-1393)

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Veliko Tarnovo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.