Velasio de Paolis
Mandhari
Velasio de Paolis, C.S., JCD, STL (19 Septemba 1935 – 9 Septemba 2017) alikuwa askofu wa Italia kutoka shirika la Wamisionari wa Mtakatifu Karoli Borromeo (Waskalabrini) na kardinali wa Kanisa Katoliki.
Alikuwa Rais wa Ofisi ya Masuala ya Kiuchumi ya Vatikani na Mwakilishi wa Papa kwa shirika la Walegionari wa Kristo.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nomina del Delegato Pontificio per la Congregazione dei Legionari di Cristo", Press Office of the Holy See, 9 July 2008. Retrieved on 2024-09-22. Archived from the original on 2011-07-28.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |