Varsha Nair
Varsha Nair | |
Amezaliwa | Varsha Nair Kampala,Uganda, 1957 Kampala,Uganda |
---|---|
Nchi | Uganda |
Majina mengine | Varsha Nair |
Kazi yake | Msanii wa Filamu |
Varsha Nair (alizaliwa Kampala, Uganda, 1957) ni msanii mwenye asili ya Uhindi.[1] Ni maarufu kwa hisia za kuhama.[2] Alipata mafunzo kutoka chuo kikuu cha Baroda na kuhamia Bangkok mwaka 1995 na baadae kuhamia Uingereza akitoka India na kurudi. Saikolojia ya hisia za kuhama iliyotengenezwa wakati wake wa kuhamahama zimewekwa katika kazi zake.[3] kazi hizi zimeelezewa kishahiri katika kwa aina yake kama mahusiana na nafasi huishi.[3] Alikua sehemu ya kikundi mkakati cha kwanza kilichotengeneza Womanifesto, jukwaa la kuonyesha wasanii wa kimataifa nchini Thailand.[4]
Ameonyesha pia katika makumbusho mbalimbali na vinchanja kikiwemo Kichanja cha Guild cha sanaa cha Mumbai[2] na Tate Modern.[5]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Varsha Nair - About (en).
- ↑ 2.0 2.1 Nair, Varsha | Artist Profile with Bio (en).
- ↑ 3.0 3.1 Archive, Asia Art. Interview with Varsha Nair (en).
- ↑ (5 December 2013) Asia through art and anthropology : cultural translation across borders, Nakamura, Fuyubi, 1974-, Perkins, Morgan,, Krischer, Olivier,, Morphy, Howard,, 中村, 冬日, 1974-. ISBN 978-0857854483. OCLC 862112488.
- ↑ ArtAsiaPacific: Still Moving Image (en).
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Varsha Nair kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |