Kenge
Mandhari
(Elekezwa kutoka Varanoidea)
Kenge | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mburukenge (Varanus niloticus)
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Familia 4:
|
Kenge au uru ni wanyama wafananao na mamba wadogo katika familia ya juu Varanoidea. Wana mwili mwembamba, miguu mirefu na mkia mrefu.
Mwainisho
[hariri | hariri chanzo]- Familia ya juu: Varanoidea
- Familia: Helodermatidae
- Jenasi: Heloderma
- Familia: Lanthanotidae
- Jenasi: Lanthanotus
- Familia: Palaeovaranidae
- Jenasi: †Palaeovaranus – Kabla ya historia
- Familia: Varanidae
- Jenasi: †Iberovaranus – Kabla ya historia
- Jenasi: †Ovoo – Kable ya historia
- Jenasi: †Saniwa – Kabla ya historia
- Jenasi: Varanus
- Nusujenasi: Empagusia
- Nusujenasi: Euprepiosaurus
- Nusujenasi: Odatria
- Nusujenasi: Papusaurus
- Nusujenasi: Philippinosaurus
- Nusujenasi: Polydaedalus
- Nusujenasi: Psammosaurus
- Nusujenasi: Soterosaurus
- Nusujenasi: Varaneades
- Nusujenasi: Varanus
- Familia: Helodermatidae
Spishi za Afrika
[hariri | hariri chanzo]Nusujenasi Polydaedalus
- Varanus albigularis, Kenge-mawe (Rock monitor)
- Varanus a. albigularis, Kenge Koo-jeupe Kusi
- Varanus a. angolensis, Kenge wa Angola
- Varanus a. microstictus, Kenge Koo-jeupe Mashariki
- Varanus a. ionidesi, Kenge Koo-jeusi
- Varanus exanthematicus, Kenge-savana (Savannah monitor)
- Varanus niloticus, Mburukenge (Nile monitor)
- Varanus stellatus, Mburukenge Magharibi (Wester African Nile monitor)
Nusujenasi Psammosaurus
- Varanus griseus, Kenge-jangwa (Desert monitor)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Kenge koo-jeupe kusi
-
Kenge koo-jeupe mashariki
-
Kenge-savana
-
Mburukenge
-
Kenge-jangwa
-
Helodermatidae (Gila monster Heloderma suspectum)
-
Lanthanotidae (Earless monitor lizard Lanthanotus borneensis)
-
Varanidae (Komodo dragon Varanus komodoensis)
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kenge kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |