Valencia CF

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Valencia Club de Fútbol (matamshi ya Kihispania: [balenθja kluβ ðe fuðβol], kwa kawaida hujulikana kama Valencia CF au Valencia tu) ni klabu ya soka ya Hispania iliyoko mjini Valencia.

Klabu hii ilianzishwa tarehe 5 Machi 1919 na kupitishwa tarehe 18 machi 1919 na Octavio Augusto Milego Díaz kama raisi wake wa kwanza.

Klabu ya Valencia inacheza katika La Liga.

Valencia imeongoza mara sita katika La Liga, mara saba katika Copa del Rey na mara mbili katika mashindano ya Inter-Cities Fairs Cups (mchezaji wa Kombe la UEFA). pia imechukua mara moja Kombe la UEFA.

Uwanja wa Mestalla Stadium unaomilikiwa na klabu ya Valencia CF

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Valencia CF kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.