Vagada (Numidia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vagada[1][2] ulikuwa ni mji katika Dola la Roma, ambamo waliishi watu wa jamii ya Waberberi. Mji huu ulikuwa katika jimbo la Numidia. Pia ilikuwa ni dayosisi ya Kanisa Katoliki (Vagadensis au Bagatensis).

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Stephanus Antonius Morcelli, Africa christiana; in tres partes tributa. Brixiae, (Offic. Bettoniana 1816-1817)
  2. Bulletin of the Société de l'histoire de France (J. Renouard, 1844)
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Vagada (Numidia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.