Nenda kwa yaliyomo

Vítor Pereira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vítor Pereira (amezaliwa 26 Julai 1968) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ureno.

Baada ya kucheza mpira kikazi mwenyewe, akawa kocha na meneja wa vilabu mbalimbali.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vítor Pereira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.