Uwanja wa michezo wa Yakubu Gowon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Yakubu Gowon ni uwanja wa michezo unaojulikana kama Uwanja wa Ukombozi ni uwanja wenye matumizi mengi katika kitongoji cha Elekahia cha Port Harcourt, nchini Nigeria. Hivi sasa hutumiwa zaidi kwa mechi za mpira wa miguu(soka) na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Rivers United F.C. na zamani kama Dolphins F.C. (Port Harcourt) | Dolphins F.C Uwanja huu una uwezo wa kuchukua watu 16,000[1][2]. Mnamo mwaka 2015, ulipewa jina tena kwa heshima ya mkuu wa zamani wa majeshi, Jenerali Yakubu Gowon.[3]

marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Yakubu Gowon kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.