Uwanja wa michezo wa Sapele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Mji wa Sapele ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi, uwanja huu unapatikana katika jimbo la Sapele, nchini Nigeria. Unatumika zaidi kwa mpira wa miguu (soka) na mechi za Riadha (mchezo) . Ni uwanja wa nyumbani wa muda wa timu ya Bayelsa United F.C.. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 16,000.Hatimaye uwanja huu ulikamilika mnamo vmwaka 2013 baada ya kucheleweshwa kwa miaka mingi.

marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Sapele kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.