Uwanja wa michezo wa Samuel Ogbemudia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Uwanja wa michezo wa Samuel Ogbemudia uliopo katika jiji la Benin, Jimbo la Edo
Picha ya Uwanja wa michezo wa Samuel Ogbemudia uliopo katika jiji la Benin, Jimbo la Edo

Uwanja wa michezo wa Samuel Ogbemudia ni uwanja wenye matumizi anuwai huko Benin City nchini Nigeria. Hapo awali ulijulikana kama Uwanja wa Ogbe, kwa sasa hutumiwa zaidi kwa mpira wa miguu na mechi pia ni uwanja wa nyumbani wa timu ya mpira ya Bendel Insurance FC na Edo Queens FC.Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 12,000. [1]

Uwanja huu umetajwa kwa jina la Gavana wa mbili wa zamaniwa Jimbo la Bendel Dk Samuel Ogbemudia. Mnamo Februari mwaka 2009, uwanja huo ulipigwa marufuku na Ligi ya Kitaifa kwa kuwa na uwanja sio salama upo chini ya kiwango[2]

Tangu mwenzake Adams Oshiomhole alipochukua madaraka kama gavana mnamo mwaka 2008, kumekuwa na mabadiliko makubwa katika uwanja huo, kama uwanja mpya wa mpira wa miguu uliokubaliwa na FIFA na wengine wengi.

Michezo ya Juu ya Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Tarehe Timu ya 1 Timu ya 2 Alama Ushindani Wanaofunga mabao Mahudhurio
23 Agusti 1983  Nigeria  Moroko 0-0[3] Kufuzu kwa ANC NA
2 Juni 2001  Nigeria Kigezo:Country data MAD 1-0 Kufuzu kwa ANC Akwuegbu Goal 5' 15,000
21 Juni 2003  Nigeria  Angola 2-2[4] Kufuzu kwa ANC K. Uche Goal 56', Odemwingie Goal 62' (pen); Figueiredo Goal 9', Akwa Goal 54' 15,000
12 Novemba 2011  Nigeria Kigezo:Country data BOT 0-0 Friendly NA


Ona pia[hariri | hariri chanzo]

  • List of stadiums in Nigeria

marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2021-06-07. 
  2. "National League Bans Samuel Ogbemudia Stadium". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-03-01. Iliwekwa mnamo 2021-06-07. 
  3. "Eboigbe musn't die". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-04-05. Iliwekwa mnamo 2021-06-07. 
  4. Nigeria's lucky escape
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Samuel Ogbemudia kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.