Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa michezo wa Sam Nujoma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa uwanja kabla ya mchezo wa kimataifa kati ya timu ya Namibia na Afrika kusini 2008

Uwanja wa michezo wa Sam Nujoma ni uwanja wa michezo ambao pia unajulikana kama Sam Nujoma Soccer Stadium au SNSSni uwanja wa mpira wa miguu unaopatikana uko Katutura,nchini Namibia. Uwanja huo unachukua watu 10,300 na ulimalizwa kujengwa mwaka 2005.[1] Ulipewa jina kutoka kwa raisi wa nchi iyo Sam Nujoma.

Jina la uwanja huo sio kama inavyosemwa sana jina jipya la uwanja huo ni Uwanja wa Uhuru (Namibia). [2]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Sam Nujoma kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Namibia Archived 3 Julai 2018 at the Wayback Machine. WorldStadiums.com
  2. [1]Archived 2012-02-08 at the Wayback Machine New Stadium Sam Nujoma "The City of Windhoek, at the June Council meeting, endorsed and approved the name of the new Soccer Stadium in Katutura as Sam Nujoma Soccer Stadium."