Uwanja wa michezo wa SONABEL

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa SONABEL ni uwanja unao tumika kwa michezo mbalimbali unapatikana huko Ouagadougou,nchini Burkina Faso. Kwa sasa unatumika sana kwa mchezo wa soka na ndiyo uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Association Sportive SONABEL. Uwanja huu una uwezo wa kubeba takribani idadi ya washabiki 5,000.


Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa SONABEL kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.