Uwanja wa michezo wa Oscar Norich

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo Oscar Norich ni uwanja wa michezo wa kimaitaifa uliopo huko Tsumeb, nchini Namibia.[1] Ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Chief Santos.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Oscar Norich kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.