Uwanja wa michezo wa Ngalandou Diouf

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Ngalandou Diouf ni uwanja wa michezo wenye matumizi anuwai huko Rufisque nchini Senegal. Kwa sasa inatumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu (soka) na unatumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya ASC Yakaar. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 7,500.

marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Ngalandou Diouf kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.