Uwanja wa michezo wa Mpumelelo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Mpumelelo Ni uwanja wa michezo unaotumika kwa shughuli nyingi na unapatikana Dundee, KwaZulu-Natal nchini Afrika kusini.Unatumika zaidi kuchezea mpira wa miguu na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Dundee XI Experience inayo shiriki ligi ya Vodacom.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Mpumelelo kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.