Uwanja wa michezo wa Mokati
Mandhari
Uwanja wa michezo wa Mokati ni uwanja wa michezo uliopo katika eneo la Otjiwarongo,nchini Namibia.Ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Lobatse FC na Life Fighters F.C ambazo ni timu zinazoshiriki katika ligi kuu ya huko nchini Namibia.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Life Fighters return to Premiere League The Namibian, 2016-03-13
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Mokati kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |