Uwanja wa michezo wa Moi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Moi ni uwanja unaotumika kwa shughuli mbalimbali ulioko huko Kisumu, nchini Kenya. ulitumika zaidi kwa mchezo wa mpira wa miguu (soka) na ndio uwanja wa nyumbani wa Kisumu All Stars F.C. Uwanja huo unaingiza idadiya watu takribanni 5,000. Gor Mahia pia imekuwa ikicheza baadhi ya michezo yao ya nyumbani huko kwa sababu ya kutopatikana kwa Uwanja wa Jiji la Nairobi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Moi kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.