Uwanja wa michezo wa Mohlakeng

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Mohlakeng ni uwanja wa michezo unaotumika kwa matumizi mbalimbali huko Randfontein - Gauteng nchini Afrika Kusini.Uwanja huu mara nyingi umekuwa ukitumika hasa kwa mechi za mpira wa miguu na pia umetumiwa kama uwanja wa nyumbani wa timu ya Trabzon katika mashindano ya Ligi za Vodacom.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Mohlakeng kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.