Uwanja wa michezo wa Kumbukumbu ya Sardauna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Uwanja wa michezo wa Kumbukumbu ya Sardauna ni uwanja wa michezo wa matumizi mengi huko Gusau Jimbo la Zamfara nchini Nigeria.[1].Hivi sasa inatumika zaidi kwa mpira wa miguu (soka) na ndio uwanja wa nyumbani wa timu ya (Zamfara United F.C) ya Ligi Kuu ya Nigeria. Uwanja huo una uwezo wa kukaliwa na takribani watu 5,000..[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Stadiums in Nigeria. World Stadiums. Iliwekwa mnamo 2008-06-17.
Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uwanja wa michezo wa Kumbukumbu ya Sardauna kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.