Uwanja wa michezo wa Koidu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Koidu-Sefadu ni uwanja wa michezo wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 2,000 na hutumika kwa ajili ya michezo ya mpira wa miguu na unapatikana katika mji wa Koidu wilaya ya Kono nchini Sierra Leone pia ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Diamond Stars.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Koidu kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.