Uwanja wa michezo wa Intwari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa ichezo wa Intwari ni uwanja wa michezo uliopo katika mji Bujumbura nchini Burundi unaotumika kwa ajili ya michezo ya mpira wa miguu ukiwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 10,000.[1] Ulipewa jina wakati wa sherehe za mwanaharakati wa uhuru na waziri mkuu wa Burundi Louis Rwagasore kabla ya kubadilishwa jina mnamo tarehe 1 Julai 2019.

marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Intwari kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.