Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa michezo wa Idriss Ngari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Idriss Ngari ni uwanja wa michezo uliopo katika mji wa Owendo katika nchi ya Gabon kwa sasa unatumika kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu ukiwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 5,000 [1]

  1. "Venues - Championnat D1 - Gabon - Results, fixtures, tables and news - Soccerway". int.soccerway.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-04-16.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Idriss Ngari kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.