Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa michezo wa Honneur

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Honneur

Uwanja wa michezo wa Honneur ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi unaopatikana huko Oujda, nchiniMoroko. Unatumika sana kwa michezo ya mpira wa miguu. Uwanja huu una uwezo wa kubeba mashabiki 15,000.[1]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Honneur kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.