Uwanja wa michezo wa DUC Dakar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa DUC Dakar ni uwanja wa michezo unaotumika kwa shughuli nyingi na unapatikana huko Dakar, nchini Senegal. Hivi sasa unatumika zaidi kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu (soka) na kilabu ya Dakar UC [1] inautumia kama uwanja wake wa nyumbani na inashiriki ligi kuu Senegali. Unastahimili watu 2,000.

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Abdou Salam Sall (2012-09-01). Les mutations de l'enseignement supérieur en Afrique :: le cas de l'université Cheikh Anta Diop de Dakar (UCAD) (in French). Editions L'Harmattan. pp. 8–. ISBN 978-2-296-50219-2. Retrieved 2013-08-06. 
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa DUC Dakar kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.