Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa michezo wa Balibiè

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Balibiè ni uwanja unaotumika kwa michezo mbalimbali unapatikana katika mji wa Koudougou, nchini Burkina Faso. Kwa sasa unatumika kwa michezo ya soka na ndiyo uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Association Sportive des Employés et Commerçants de Koudougou. Uwanja huu una uwezo wa kubeba takribani idadi ya watu 30,000.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Balibiè kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.