Uwanja wa michezo wa Arthur Block Park

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Arthur Bloch Park ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi Johannesburg,huko Gauteng,nchini Afrika Kusini. Kwa sasa unatumika kwa michezo ya soka mpira wa miguu na ndiyo uwanja wa nyumbani wa Yebo Yes United F.C. inayocheza ligi daraja la pili la Vodacom. Eneo hilo lilipewa jina baada ya diwani na mwenyekiti wa klabu ya Rangers, Arthur Bloch.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Arthur Block Park kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.