Uwanja wa michezo wa Adamasingba
Uwanja wa michezo wa Adamasingba ni uwanja wa michezo wenye matumizi tofauti huko badan nchini Nigeria. Unajulikana pia kama Lekan Salami. Hivi sasa unatumika zaidi kwa mpira wa miguu (soka) na ni uwanja wa nyumbani wa Shooting Stars FC na timu zingine za hapa ziko Ibadan. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 10,000.[1]
Shooting Stars FC ni timu yenye mafanikio makubwa na ina mashabiki wengi. Walishinda ubingwa mnamo mwaka 1993 na muda mfupi baadaye walichuka kombe.[2] Uwanja huo aukutumika sana kwa sababu ya kuoza, na vifaa vingi kuwa dhaifu kama matokeo ya kile ambacho wengi wanaamini ni ukosefu wa utamaduni wa matengenezo. Kwa miaka mingi, miundo mingi imepitwa na vichaka na kuchukuliwa na wanyama watambaao.[3] Uwanja huo uliitwa Uwanja wa Lekan Salamimnamo mwaka 1998 kwa heshima ya Chifu Lekan Salami na Gavana wa Jeshi la Jimbo la Oyo Hammed Usman.[4] [5]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Adamasingba Stadium". soccerway. Iliwekwa mnamo 18 Agosti 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Parrish, Charles; Nauright, John (2014-04-21). Soccer around the World: A Cultural Guide to the World's Favorite Sport (kwa Kiingereza). ABC-CLIO. ISBN 978-1-61069-303-5.
- ↑ "After decades of abandonment, Adamasingba stadium facelift commences". Tribune Online (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-12-19.
- ↑ "Investigation – Rust, rot and waste: a peek into Ibadan's waning infrastructure II — The Page Nigeria", The Page Nigeria, 2017-06-23. Retrieved on 2021-06-06. (en-US) Archived from the original on 2018-08-22.
- ↑ "Adamasingba Complex Opens", The Punch, May 28, 1988, p. 5.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Adamasingba kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |