Uwanja wa michezo wa 7 Machi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja ulivyo.

Uwanja wa michezo wa 7 Machi ni uwanja wa michezo wenye matumizi mbalimbali huko Ben Guerdane, nchini Tunisia, kilomita 560 kusini mashariki mwa Tunis. Una idadi ya viti 10,000 ambavyo kati yake 4,000 vipo katika mfomo wa kufunikwa. Kwa kawaida uwanja huu hutumiwa na US Ben Guerdane.

Tarehe 7 Machi ndiyo siku ambayo yalitokea mapigano ya Ben Guerdane mwaka 2016 nchini Tunisia. Yalikuwa mapigano kati ya vikosi vya usalama vya Tunisia na wanajihadi wa Islamic State (IS).

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa 7 Machi kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.