Uwanja wa michezo Omar Bongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Omar Bongo ni uwanja wa michezo uliopo katika mji wa Libreville,nchini Gabon, ni uwanja unaotumika sana kwa ajili ya mchezo wa Mpira wa miguu na pia ni uwanja wa nyumbani wa timu ya FC 105 Libreville, uwanja huu una uwezo wa kuchukua watu 41,000 .[1] uwanja huu ulipewa jina la raisi wa Gabon Omary Bongo

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo Omar Bongo kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.