Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa michezo Ali Alsgozy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Ali Alsgozy ni uwanja wa michezo wa mpira wa miguu unaopatikana huko Tripoli, nchini Libya.

Uwanja huo una uwezo wa kuingiza watu 3,000. Ulipewa jina kutokana na jina la mchezaji wa timu ya Al Ittihad Tripoli aliyekua akicheza nafasi ya ulinzi(beki) Ali Alsgozy.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo Ali Alsgozy kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.