Uwanja wa michezo Al Bayda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
uwanja wa Al Bayda

Uwanja wa michezo wa Al Bayda ambao hujulikana pia kama Al Watheeq al Khadhraa Stadium ni uwanja unatumika kwa Michezo mbalimbali na unapatikana huko mjini Bayda nchini Libya. Ulitumika sana zaidi kwa mchezo wa mpira wa miguu na ulitumiwa kama uwanja wa nyumbani wa timu ya Al Akhdar Al Bayda. Uwanja huu unaingiza idadi ya watu 10,000 [1].

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo Al Bayda kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.