Uwanja wa Ndege wa Phu Bai
Mandhari

Phu Bai International Airport Sân bay Quốc tế Phú Bài | |||
---|---|---|---|
Faili:Phu Bai Airport.JPG | |||
IATA: HUI – ICAO: VVPB | |||
Muhtasari | |||
Aina | Public | ||
Opareta | Middle Airport Authority | ||
Mahali | Hue | ||
Mwinuko Juu ya UB |
49 ft / 15 m | ||
Anwani ya kijiografia | 16°24′06″N 107°42′10″E / 16.40167°N 107.70278°E | ||
Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
ft | m | ||
09/27 | 8,775 | 2,675 | Asphalt |
Kiwanja cha Ndege cha Phu Bai ni kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Huế nchini Vietnam. Ni kati ya nyanja za ndege kubwa ikiwa abiria zaidi ya milioni 0,5 wanaopita.
Jina kamili kwa Kiholanzi ni Sân bay quốc tế Phú Bài au kwa Kiingereza Phu Bai international Airport.
Ni kituo kikuu cha Vietnam Airlines.
Kiwanja cha ndege kipo kilomita 15 kusini ya Huế na safari kwa treni kutoka mjini ni dakika 20.