Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kotoka
Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kotoka uko (IATA: ACC, ICAO: DGAA) mjini Accra, Ghana ni uwanja zaidi hewandege za kimataifa na ina uwezo mkubwa wa ndege kama vile aina ya Airbus A380. Shughuli za Uwanja huu wa ndege zinaendelezwa na Shirika la Ghana la uwanja za ndege .Kwa kimombo linajulikana kama (GACL) ambalo lilianzishwa kama matokeo ya kuvunjwa kwa wa Shirikala Mamlaka ya Urobani Ghana ,linalojulikana kama (GCAA) kulingana na mwenendo wa kisasa katika sekta ya anga.
Kampuni hii ya uwanja wa ndege ilisajiliwa Januari 2006 na kuanza biashara tarehe 1 Januari 2007 kwa kuwa na wajibu wa kupanga, kuendeleza, kusimamia na kudumisha viwanja vya ndege na viwanja vidogo vya ndege nchini Ghana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kotoka (KIA) na viwanja vya ndege vya kikanda yaani Kumasi, Tamale, Sunyani vilevile airstrips.
Uwanja wa Ndege wa Kotoka au ACC inatumika kama kitovu cha kanda ya Magharibi ya Afrika na ina vifaa vya hewa vya usafiri na huduma kwaongezeko la thamani ya wadau. Mwaka wa 2006, uwanja huu wa ndege ulihudumia abiria 1,083,431 na takwimu hii itapanda hivi karibuni kwa kuwa kuna marekebisho na vifaa na utendajiwa kisasa unaoendelea .
Kama sehemu ya madhumuni ya uwanja wa ndege, KIA inafanya kazi na jamii, sekta ya viwanda na watunga sera ili kuhakikisha renare mbinguni na kupunguza athari zozote za anga juu ya mazingira. Mwaka wa 2007, usimamizi pia uliweka wazi lengo la kutumia teknolojia ya kubadili uendeshaji wa operesheni za uwanja wa ndege na kuwa shirika lisilokuwa na makaratasi kwa msaada wa Hourglass Consulting (http://www.hourglass-group.com Ilihifadhiwa 21 Oktoba 2016 kwenye Wayback Machine.), KIA - kama sehemu ya nyanja nne zinazoendeshwa na GACL - inaweza kujivunia kuwa wuwanja wa kwanza Afrika kutumia mfumo wa Cloud Computing.
Mwaka wa 2008 - hal ya mawasiliano ya uwanja huu uliweza kusalia katika tuzo la Tovuti bora za huduma ya ndege - kigezo muhimu katika kiwanda na Uuwanja wa kwanza wa Afrika kutumia kigezo hiki. Se http://www.flightglobal.com/awards
Mnamo Februari 2008, Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kotoka ulitumika kama kitovu kwa ajili ya kupeleka wanajeshi wa Marekani kutoka 621 Contingency Response Wing, McGuire AFB, New Jersey, miongoni mwa vikundi vingine, wakati wa ziara ya Rais Bush na nchi katika Afrika.
Kampuni za Ndege na Sehemu za Usafiri
[hariri | hariri chanzo]Makampuni ya ndege | Vifiko |
---|---|
Aero Contractors | Lagos |
Afriqiyah Airways | Tripoli |
Air Burkina | Ouagadougou, Abidjan |
Air Ivoire | Abidjan |
Air Namibia | Johannesburg, Windhoek[1] |
Alitalia | Rome-Fiumicino |
Antrak Air | Kumasi, Tamale, Ouagadougou, Cotonou |
Arik Air | Abuja, Banjul, Dakar, Lagos |
Bellview Airlines | Abidjan, Lagos, Monrovia |
British Airways | London-Heathrow |
CTK - CiTylinK | Kumasi, Sunyani |
Delta Air Lines | Atlanta [begins 2 Juni][2], New York-JFK |
EgyptAir | Cairo |
Emirates | Abidjan, Dubai |
Ethiopian Airlines | Abidjan, Addis Ababa, Conakry |
Ghana International Airlines | Düsseldorf, London Gatwick |
Kenya Airways | Nairobi, Freetown, Monrovia |
KLM | Amsterdam |
Lufthansa | Frankfurt |
Middle East Airlines | Beirut |
Nigerian Eagle Airlines | Dakar, Lagos, Monrovia |
Royal Air Maroc | Casablanca |
South African Airways | Johannesburg |
United Airlines | Washington-Dulles [begins 3 Mei][3] |
Ndege za mizigo
[hariri | hariri chanzo]- Aerogem Cargo
- Air France
- Avient Aviation (Sharjah)
- Cargolux
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti Rasmi ya Shirika la Mamlaka ya Urobani Ghana . Ilihifadhiwa 27 Desemba 2009 kwenye Wayback Machine.
- Airport information for DGAA at World Aero Data. Data current as of October 2006.