Nenda kwa yaliyomo

Air Namibia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Air Namibia ni ndege ya kitaifa ncini Namibia, iliyo na makao yake kwenye jumba la Trans Namib mjini Windhoek.[1] Inahudumu safari za nchini Namibia na za ng'ambo. Makao ya ndege zake ni kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Windhoek Kosea Kutako.

Historia

[hariri | hariri chanzo]
Air Namibia kwenye uwanja wa ndege wa Windhoek Hosea Kutako

Ndege hii ilianzishwa mnamo 1946 na kampuni ya South West Air Transport. Ilibadilishwa jina na kuwa South West Airways mnamo 1959. Serikali ya Namibia ilinunua hisa zake nyingi mnamo 1982 na kuifanya kuwa ndege ya kitaifa mnamo 1987. Ilibadilishwa jina tena na kuwa Air Namibia mnamo Oktoba 1991 baada ya nchi hii kupata uhuru.

Miji inayosafiria

[hariri | hariri chanzo]
MjiUfupishoJina kamili la uwanja wa ndegeNdegeMaelezo
IATAICAO
Namibia
LüderitzLUDFYLZLüderitz AirportBe1900SW856
Katima Mulilo AirportMPAFYMPMpacha AirportBe1900SW405
OndangwaONDFYOAOndangwa AirportBe1900SW154 & SW156
OranjemundOMDFYOGOranjemund AirportBe1900SW856 & SW858
Walvis BayWVBFYWBWalvis Bay AirportBe1900/B737SW856/SW748
WindhoekERSFYWEEros AirportMakao ya ndege
WindhoekWDHFYWHWindhoek Hosea Kutako International AirportMakao ya ndege
Angola
LuandaLADFNLUQuatro de Fevereiro AirportB737SW172
Botswana
MaunMUBFBMNMaun AirportBe1900SW140
Ghana
AccraACCDGAAKotoka International AirportA343kwa kupitia mji wa Johannesburg
Afrika Kusini
Cape TownCPTFACTCape Town International AirportB737SW742 & SW744
JohannesburgJNBFAJSOR Tambo International AirportB737SW710 & SW712
Zambia
LusakaLSKFLLSLusaka International AirportB737kwa kupitia Johannesburg
Zimbabwe
Victoria FallsVFAFVFAVictoria Falls AirportBe1900SW140
MjiUfupishoUwanja wa ndegeNdegeMaelezo
IATAICAO
Ujerumani
FrankfurtFRAEDDFFrankfurt International AirportA343SW285/SW286

Ndege za kwenda Windhoek and London Gatwick zilizimamishwa mnamo Mei 2009.[2]

Ndege zake

[hariri | hariri chanzo]

Air Namibia ina ndege zifuatazo (hadi 29 Novemba 2009):

  • Ndege 2 aina ya Airbus A340-312
  • Ndege 2 aina ya Boeing 737-200
  • Ndege 2 aina ya Boeing 737-500
  • Ndege 1 aina ya Boeing 737-800

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Contact Us." Air Namibia. Retrieved on 13 Oktoba 2009.
  2. SA Promo - AIR NAMIBIA Suspend Services from Gatwick