Uwanja wa Mji wa Oghara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa mji wa Oghara ni uwanja unaotumika kwa matumizi tofauti tofauti huko Oghara nchini Nigeria. Kwa sasa unatumiwa zaidi kwa mchezo wa mpira wa miguu (soka) na unaandaliwa kwa ajili ya mashindano kadhaa ya mwisho ya Mashindano ya Wanawake ya Soka ya Afrika ya mwaka 2006.[1] Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 8,000.[2] Uwanja huo umewahi kuwa makao ya muda ya timu ya Bayelsa na timu Ocean Boys F.C. na Bayelsa United.[3]

marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "AWC: Nigeria beats South Africa 2-0, Equatorial-Guinea holds Algeria". Agência Angola Press. 4 November 2006. Iliwekwa mnamo 16 April 2020.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)[dead link]
  2. "Delta State League draw the Curtains", Vanguard, 16 July 2020. 
  3. "Nigeria: NFF Clears Venues for Ocean Boys, Bayelsa United", This Day, 2 April 2009. 
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Mji wa Oghara kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.