Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Shoda Shoyu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Shoda Shoyu ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1951 kwenye mji wa Maebashi, Gunma Kantō nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Thespa Kusatsu, Thespakusatsu Gunma (2005–) na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 15,253.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Shoda Shoyu kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.