Uwanja wa Michezo wa Al Janoub

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa michezo wa Al Janoub

Uwanja wa michezo wa Al Janoub (kwa Kiarabu استاد الجنوب) ni uwanja wa mpira wa miguu uliopo katika mji wa Al-Wakrah nchini Qatar na ulizinduliwa rasmi 16 Mei 2019. Ni moja kati ya viwanja vitakavyo tumika katika michuano ya kombe la dunia la FIFA 2022[1] .

Muundo wa uwanja uliundwa na msanifu majengo kutoka nchini Iraq Zaha Hadid pamoja na kampuni ya AECOM. Uwanja wa Al Janoub unauwezo wa kubeba watu 40,000 na kwasasa ni uwanja rasmi wa klabu ya Mpira wa miguu ya Al-Wakrah SC.[2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Al Janoub Stadium". zaha-hadid.com. Iliwekwa mnamo 24 August 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Amir inaugurates Al Janoub Stadium". thepeninsulaqatar.com. 17 May 2019. Iliwekwa mnamo 22 March 2022.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Al Janoub kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.