Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa 974

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa 974 ni uwanja wa mpira wa miguu katika wilaya ya Ras Abu Aboud katika mji wa Doha nchini Qatar. Uwanja huu utatumika kuchezea mechi saba wakati wa kombe la dunia la FIFA 2022 na ulizinduliwa 30 Novemba 2021.[1]

  1. "Demountable stadium built with shipping containers reaches completion in Qatar". Dezeen (kwa Kiingereza). 2021-11-24. Iliwekwa mnamo 2022-01-06.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa 974 kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.