Uwanja wa Keitaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Keitaba ni uwanja mkuu wa mpira wa miguu katika Wilaya ya Bukoba Mjini mkoani Kagera.

Uwanja huo umetengenezwa vizuri na umewekwa nyasi bandia.

Sanasana unatumiwa na timu ya Kagera Sugar inayoshiriki ligi kuu ya Tanzania Bara.