Utafutatuzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Utafutatuzi (kutoka vitenzi vya Kibantu kutafuta na kutatua; kwa Kiingereza: troubleshooting) ni namna ya kusuluhisha matatizo inayotumika katika utarakilishi. Lengo la utafutatuzi ni kufanya utafutaji kwa utaratibu wa matatizo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)