Usawazisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Usawazisho wa matini.

Katika uchapaji, usawazisho (kutoka kitenzi cha Kibantu kusawazisha kinachotokana na neno sawa; kwa Kiingereza: justification au typographic alignment) ni mchakato au utaratibu wa kusawazisha matini ili upande wa kulia kila mstari uishie katika umbali uleule kutoka ukingo wa ukurasa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)