Usafirishaji wa silaha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Usafirishaji wa silaha ni biashara ya magendo ya silaha ndogondogo na risasi, ambayo ni sehemu mojawapo ya shughuli haramu ambazo mara nyingi huhusishwa na mashirika ya uhalifu ya kimataifa[1].

Wasomi wanakadiria miamala haramu ya silaha hufikia zaidi ya dola bilioni 1 kwa mwaka[2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Arsovska, Jana; Kostakos, Panos A. (2008). "Illicit arms trafficking and the limits of rational choice theory: the case of the Balkans". Trends in Organized Crime 11 (4): 352. ISSN 1084-4791. 
  2. "The Global Regime for Transnational Crime". Council on Foreign Relations (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-07-30. 
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Usafirishaji wa silaha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.