Magendo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kitabu kilichoandaliwa kwa magendo ya sigara
Mtenda magendo aliyejaribu kusafirisha ndege wanaohifadhiwa

Magendo (kwa Kiingereza: smuggling) ni jinai inayohusu usafirishaji haramu wa bidhaa, vitu au watu kuvukia mipaka ndani au nje ya nchi fulani. Ndani ya nchi fulani vitu husafirishwa kwa namna haramu kama yanatakiwa kuonyeshwa kwenye mageti za taasisi kama vile gereza, bandari au vituo vya kudhibiti biashara.

Mara nyingi magendo hutekelezwa kwa shabaha ya kuepuka kulipia ushuru wa forodha au kufanya biashara na bidhaa haramu kama madawa ya kulevya.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Shirika inayofanya kazi dhidi ya magendo ya watu
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Magendo kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.