Nenda kwa yaliyomo

Usafi wa kimwili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Usafi wa kimwili

Usafi (kutoka neno la Kiarabu) ni hali ya kuwa safi pande zote, kama vile mdomo, mwili kwa jumla, matendo, roho.

Usafi wa kimwili ni kitendo cha kuwa safi kimwili ila si lazima usafi huo uendane na ule wa kiroho, kimatendo, kimaneno. Pamoja na hayo, usafi wa mwili ni muhimu katika kulinda afya.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Usafi wa kimwili kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.