Uprogramishaji kikadhia
Katika utarakilishi, uprogramishaji kikadhia (kwa Kiingereza: functional programming) ni aina ya uprogramishaji ambapo programu zinaumbwa na kutunga na kutekeleza kadhia.
Kwa mfano, uprogamishaji kikadhia unatumika kwenye lugha za programu kama Haskell au PHP.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.