Upelelezi (Jiografia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Upelelezi ni tendo la kufanya ziara kwa nia ya kugundua au kujifunza kuhusu kitu au mahali. Kwa mfano, upelelezi wa anga-nje unafanywa kwa kutuma binadamu na roboti katika huko ili wakusanye habari zaidi kuhusu ulimwengu na mifumo ya sayari.

Upelelezi unaojulikana zaidi ni ule uliofanywa na Wazungu, wakati wa enzi za upelelezi, kwa sababu tofauti. Walizuru Afrika, Amerika, Australia na funguvisiwa vya Pasifiki na Bahari Hindi.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.